Advertisement

Ad Image

NACTE STUDENT ONLINE TRANSFER | KUHAMA CHUO DEADLINE 18/11/2023

MAOMBI YA UHAMISHO KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA.

MAOMBI YA UHAMISHO KWA WANAFUNZI WANAOENDELEA.

Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho.

Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 18-11-2023

Masharti na Sifa kwa Waombaji,

Taarifa kwa Waombaji:

1.     Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo anachotaka kuhamia kama vile, mahali chuo kilipo, hali ya hewa, ada na michango mingine. Kwa taarifa zaidi awasiliane na chuo anachotaka kuhamia.

2.     Uhamisho unawahusu wanafunzi waliopo katika mwaka wa masomo 2023/2024 kwa mkupuo wa MACHI na SEPTEMBA ili kuhakiki kama upo katika mwaka husika bofya Hapa

3.     Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana

4.     Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu

5.     Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia

Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 18-11-2023

Malipo

Gharama za mchakato wa uhamisho ni Tsh 10,000/=, Malipo yaliyopokelewa hayatarejeshwa.


TUMA MAOMBI YA KUHAMA HAPA 

APPLY ONLINE TRANSFER APPLICATION

NB: IMPORTANT: Redirection, Ads, Opening New Tabs, On Our Site Just For Website Financial Support Not Phishing.




Post a Comment

0 Comments